Home » » Jose Chameleone anunua pair ya kiatu yenye thamani ya Milioni 25 za kitanzania

Jose Chameleone anunua pair ya kiatu yenye thamani ya Milioni 25 za kitanzania

Written By Bizzi on Monday, April 17, 2017 | April 17, 2017

Ile tabia ya watu maarufu kununua vitu vyenye thamani imeendelea kuongezeka kwa kasi hivi sasa, ambapo Jose chameleone mwanamziki anayetokea UGANDA ametrend kwa kuonyesha viatu vyake viwili vyenye thamani ya dola za kimarekani 12,500.

Jose chameleone amesema kununua viatu hivyo hamaanishi kwamba anajionyesha ila ni moja ya njia anayotumia kumshukuru Mungu.

Jose Chameleone akiwa amevishika viatu hivyo
Jose ni mmoja kati ya wanamuziki wenye mafanikio zaidi kwa wakati huu, ambapo utajiri wake amekuwa akiuweka wazi mara kwa mara kwa kuonyesha magari na nyumba anzozimiliki.
Share this article :

No comments:

Post a Comment