Home » » Aliyekuwa kiongozi wa Freemason Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

Aliyekuwa kiongozi wa Freemason Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

Written By Bizzi on Monday, April 17, 2017 | April 17, 2017


Aliyekuwa kiongozi wa Jumuiya ya Freemason Afrika Mashariki, Sir Jayantilal Keshavji ‘Andy’ Chande amefariki Dunia.

Sir Andy Chande alikuwa mwanachama wa Freemason kwa takribani miongo 6 tangu ajiunge. Alizaliwa Mombasa, Kenya Mei 7, 1928 ingawa wazazi wake walikuwa wakiishi Bukene Mjini, Mkoani Tabora,Tanzania.
Share this article :

No comments:

Post a Comment